Pages

Pages - Menu

SAUTI SOUL WAFANYA MAKUBWA NCHINI MAREKANI, WAPIGA SHOW KALI NA JAY Z, BEYOUNCE NA...

Kundi la wasanii wa muziki la Kenya ‘Sauti Soul’ wamekutana na mmiliki wa Microsoft Bill gates na mmiliki wa ‘Roc Nation’ Jay Z jumamosi ya wiki iliyopita New York, Marekani. Pia wameweza ku perform na Jay z, Beyounce, Common na wengine wengi. see pics inside...

Monday, September 28, 2015

CHUMBA CHA MTOTO WA KAJALA NA P FUNK KUFURU TUPU

Chumba cha Paula wa P- Funk Kufuru!
Chumba cha mtoto wa prodyuza maarufu Bongo, Paul Matthysse ‘P- Funk’ na Kajala Msanja, Paula kimeibua mshituko kufuatia namna kilivyosheheni vitu vya thamani.
Juzikati mwandishi wetu alitinga ndani ya mjengo anaoishi Kajala maeneo ya Mwenge jijini Dar na kustaajabu mengi lakini miongoni mwa hayo ni chumba ambacho ametengewa Paula. Tazama picha hapa ndani...

SWIZZ BEATZ AIKUBALI NANA YA DIAMOND PLATNUMZ

Rapper na producer wa muziki toka Marekani, Swizz Beatz ni kama midundo ya Afrika ameanza kuikubali sana sasahivi.. kuna siku alipost yeye pamoja na mpenzi wake, Alicia Keys vipisi vya video wakienjoy midundo ya kwenye album ya staa wa Muziki toka Nigeria, Wizkid.

Muda mfupi uliopita jamaa kapost tena kipande cha video ya mtoto wake akiwa anacheza wimbo wa Diamond Platnumz, ‘Nana’ Feat. Mr. Flavour… kwenye post hiyo Swizz ameandika...

Sunday, September 27, 2015

PHOTOS: PRINCESS TIFFAH AKUTANA NA KAKA ZAKE NCHINI S.A

11356678_969639193088473_1391727929_nPamoja na kuwa ni watoto wa baba tofauti, watoto wa kiume wa Zari wamempokea kwa furaha kubwa Tiffah, mtoto wa Zari the Bosslady. Zari kwenye picha hii ameandika: If anybody ever said perfect doesn’t exist, they were wrong. It surely does!!!! Look at my ‘perfect’ lil life
Baada ya Tiffah kufikisha siku 40, sasa ni muda wa kuonana na kaka zake hao watatu wanaoishi nchini Afrika Kusini. See more pics inside...

Friday, September 25, 2015

IYANYA AJIPONGEZA KWA KUNUNUA GARI MPYA BAADA YA KUACHIA ALBUM

Staa wa muziki wa Nigeria, Iyanya amenunua gari jipya aina ya Bentley siku chache baada ya kuachia Album yake mpya ‘Applaudise’. See pics inside...

WEMA SEPETU: SHEREHE YA TIFFAH HAIKUNIHUSU

Wema: Sherehe ya Tiffah Haikunihusu
Staa asiyechuja Bongo, Wema Sepetu amefunguka kuwa hakuhudhuria kwenye 40 ya mtoto wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambaye alikuwa mpenzi wake kwa kuwa haikuwa inamuhusu.
Akizungumza na mwandishi karibuni baada ya kumuuliza kwa nini hakuonekana kwenye sherehe hiyo, Wema alisema asingeweza kwenda kwa kuwa...

KAJALA AMMWAGIA ZARI NOTI ZA FEDHA

Katika kile kinachoonekana kama ni kejeli kwa shosti wake wa zamani, ambaye sasa picha hazipandi, staa wa filamu Kajala Masanja, mwishoni mwa wiki iliyopita alimmwagia ‘minoti’ mingi Zarinah Hassan ‘Zari’ wakati wa hafla ya kutimiza siku 40 tangu kuzaliwa kwa mtoto wake Tiffah.

Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwa Diamond, mitaa ya Madale-Tegeta nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam na kuhudhuriwa na...

Thursday, September 24, 2015

BARAKAH DA PRINCE APATA USIMAMIZI MPYA WA KAZI ZAKE

Star wa muziki Barakah da Prince amelitolea ufafanuzi suala la yeye kuingia katika makubaliano ya usimamizi wa kazi zake za muziki na kampuni nyingine ambayo imeonekana kumvutia star huyo nchini.  Pamoja na kusitisha huko bado imeonekana kuwa hakuna utaratibu rasmi uliofanyika kusitisha...

MASTER J: TUZO ZA NJE HAZISAIDII WASANII WETU

Producer mkongwe wa muziki wa Bongo Flava Master Jay, amesema tuzo wanazoshiriki wasanii wetu nje ya nchi haziwasaidii katika kutanua wigo wa kibiashara wa msanii wa Tanzania huku wakitumia ghara kubwa kutengeneza video zenye ubora ili...

J.COLE AINGIA TANZANIA KIMYA KIMYA

Rapper wa Marekani ambaye yupo chini ya label ya Jay Z ‘Roc Nation’ , J Cole amekuja Tanzania kimya kimya. J cole alionekana mapema jana kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa...

MASHABIKI WA DIAMOND WAANZA KUGAWANYIKA KISA SIASA

Msanii Diamond ni mmoja wa wasanii vijana waliopata umaarufu kwa juhudi zake na support ya washabiki wake hasa vijana wenzie katika siku hizi za karibuni. Kwa sasa amependekezwa kuwania tuzo za MTV EMA na ameomba support ya kura ili kupata ushindi.

Lakini response ya safari hii ni tofauti kabisa na huko nyuma hasa baada ya kukubali kujiingiza katika kampeni za kisiasa. Watu kadhaa walimuonya kuwa siasa zitamharibia na kumpotezea washabiki lakini alidharau na wapo Waliompa ushauri eti asijali kwani hata...

Wednesday, September 23, 2015

BEN POL AACHANA NA PANAMUSIQ

Ben pol ameipigia chini Management iliyokua inasimamia kazi zake ‘Panamusiq’
Muimbaji wa ‘Sophia’ Ben pol amedumu chini ya management hiyo kwa muda wa miezi mitano kuanzia mwezi wa April aliposaini hadi mwezi September.
Hata hivyo hajaweka wazi sababu za kwanini ameamua kuachana nao zaidi yamadai ya kutoridhishwa na...

Monday, September 21, 2015

BEN POL FT AVRIL KUACHILIWA ALHAMISI HII

Mkali wa RnB, Ben Pol ametangaza kuwa ataachia wimbo aliomshirikisha mwanamziki wa Kenya Avril na mwanamziki mpya kutoka Tanzania Rossie...

KAULI YA WOLPER KUHUSU KUTO HUDHULIA 40 YA TIFFAH

Wolper Atoa Udhuru 40 ya Tiffah, Amkumbusha Diamond Kutoroka…
Mapema jana staa wa Bongo Movies, Jacqueline Lowassa kupitia kurasa wake kwenye mtandao wa Instagram  aliandika haya akitoa udhuru wa kutohuduria 40 ya mtoto wa staa wa Bongo Fleva  Diamond Platnum, Tiffah iliyofanyika jana nyumbani kwa Diamond.

40 ya Tiffah Lee Queen Asante bwana Demonde kwa mualiko ..ila ulivyomswahilI kila mualiko nakua nakamtoko au nakua sipo kabisa Dar sasa kivumbi pale kwenye harusi yangu ule mualiko sasa utakavyojisafirisha ili kunilipizia usifanye hvyo mambo yanaingiliana..lol ...hongera sana Naseeb najua...

DAVIDO ATHIBITISHA UJIO AWA COLLABLE YAKE MPYA NA JOH MAKINI

Davido amethibitisha kumshirikia rapper wa Tanzania kutoka kundi la Weusi, Joh Makini kwenye track yake mpya ambayo bado hajataja jina. kwenye tweet yake siku ya jana Davido aliandika...

Friday, September 18, 2015

NAY WA MITEGO AWEKA WAZI UHUSIANO WAKE NA PAM DAFF

 Msanii Ney wa mitego amefunguka juu ya taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii kwamba ana mahusiano ya kimapenzi na Msanii wa Bongo Flava mwenye figure matata Pam Dafa, na kusema wao ni...

BELLE 9 ACHUKIZWA NA MASTAA WANAO JIANIKA

Star wa muziki Belle 9, amezungumzia tabia ya wasanii kuanika maisha yao binafsi katika vyombo vya habari ikiwepo mapenzi, kwake hii ikiwa si sawa na akiwa haamini kama inaweza kumsaidia kivyovyote msanii kusimama kimuziki.
Belle 9 amesema kuwa, hiyo inatokana na kujali pia familia yake ambayo imemlea katika misingi ya dini akiamini kabisa kuwa kuna...

PAM DAFFA AFUNGUKIA SIASA


Msanii wa muziki Pam Daffa, akiwa katika kundi la wasanii ambao misimamo yao kisiasa ni suala ambalo wameamua kuliweka binafsi, amesema kuwa hatua hiyo imezuia yeye na wasanii wenye msimamo kama wake kukosa mashavu ya kutumbuiza.
Ikiwa inafahamika vyema kuwa majukwaa ya kisiasa ni nafasi nzuri kwa wasanii kutengeneza pesa, Pam Daffa amesema kuwa, kidemokrasia ana...

HEMEDY PHD ATANGAZA KUACHIA ALBUM YENYE NYIMBO 18

Hemedy PHD ametangaza ujio wa Album yake ya kwanza mwezi february mwakani, amesema itaitwa “Virgo” na itakua na jumla ya nyimbo 18.
PHD ametoa habari hiyo njema kwa mashabili wake kupitia mtandao wa Instagram, Ameandika
INSHALLAH FEBRUARY 2016 MY VERY FIRST MUSIC ALBUM WILL BE OUT! THE ALBUM WILL BE...