Watoto ambao hulishwa chakula kwa kijiko wameelezwa kuwa
hatarini zaidi kuwa na uzito mkubwa au unene kupita kiasi ukilinganisha
na watoto ambao wanakula wenyewe kwa mikono yao, kwa mujibu wa utafiti
mpya.
Amy Brown, Professor katika Chuo Kikuu cha Swansea
amesema kuwa watoto wanaopewa nafasi ya kula wenyewe kwa mikono yao
huwa na uwiano mkubwa wa afya bora hivyo wazazi wameshauriwa kutowalisha
kwa kijiko watoto wenye umri wa...
[Verse 1] Uko na tabia za kupendeza roho Tabasamu ya kupapasa macho Sauti yako nikiiskia pia natulia yanipunguzia hasira nazo Urembo wako ulininasa roho Siku ya kwanza kukuona kwa macho Sa moyoni umekwamia siwezi kutania njoo unipunguzie mawazo...
Baada ya majina ya Watanzania kutokelezea katika jarida la Forbes la wajasiriamali wenye umri chini ya miaka 30, ambao ni Jokate Mwegelo na Lavie Makeup limemfanya muigizaji Rose Ndauka kuamini kwamba hakuna kitu kinachoshindakana kwenye hii Dunia.
Kupitia kurasa yake ya Twitter, Rose Ndauka aliamua kuandika jumbe yake kwa kusema kwamba “Kitu ulichokifanya,unatuhakikishia hakuna...
Msanii wa muziki wa hip hop, Wakazi, anajipanga kuachia albamu yake
mpya ‘Kisimani’ ndani ya mwezi huu wa Ramadhani baada ya kuiandaa kwa
kipindi cha miaka mitano.
Rapa huyo amedai tayari ameshawaahidi sana mashabiki wake juu ya albamu
hiyo lakini kwa sasa analazimika kuiachia kwa namna yoyote, Akiongea na Bongo5 wiki hii, Wakazi amedai alikuwa anashindwa kuiachia albamu hiyo kutokana na...
Jana May 30 ndio ilikuwa siku rasmi ya kupumzishwa kwa mwili wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini Uganda Ivan Semwanga ambaye aliwahi kuwa mapenzini na baby mama wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady
na kufanikiwa kupata watoto watatu, ambaye amefariki May 25 huko ncini
South Africa kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni shinikizo la damu.
Mwili wa Ivan ulipumzishwa mapema hapo jana katika wilaya ya Kayunga jijini Kampala nchini Uganda ikiwa ndio nyumbani kwa wazazi wa Ivan Semwanga. Mengi yalijiri katika msiba huo ila kubwa zaidi ni hili la marafiki wa marehemu Ivan...
Meneja maneno ambaye awali alikuwa akisimamia kazi za wasanii kadha
akiwemo Sam wa Ukweli,Rich Mavoko na Diamond Platnumz amefunguka jinsi
alivyomkuta msanii Sam wa ukweli akiwa anauza matunda.
Maneno amefunguka hayo katika kipindi cha “Bongo Fleva Top 20′ cha EA
Radio kuwa alimkuta msanii huyo alinaehit na ngoma ya ‘kisiki’ kwa sasa
akiwa anauza matunda lakini...
Unaikumbuka ile Mwana? Ngoma ambayo ilimrudisha vyema kabisa kwenye game ya music mfalme wa Bongo fleva Ally Saleh Kiba baada ya kimya cha muda mrefu. Kama hukumbuki vyema, ninachotaka kukukumbusha saa hii ni kwamba
ngoma ile (Mwana) ilisukwa na mtayarishaji mkali na mkongwe wa Bongo
fleva, Man Water.
Kama ulimiss aina na ladha ya muziki kama ule kutoka kwa King Kiba,
the wait is over, sababu ametusanua kuwa yuko katika hatua za mwisho
kuikamilisha ngoma yake mpya ambayo...
Msanii Ben Pol amesema ngoma yake mpya ‘Tatu’ aliyomshirikisha
Darassa sio malipo au fadhila baada ya kufanya vizuri katika wimbo
‘Muziki’ bali wimbo wake ulikuwa unamuhitaji Darassa. Ben Pol amesema yeye na Darassa hawalipishani fadhila kwamba mmoja akimfanyia kitu mwenzake ni lazima amlipe.
“Hata mimi mwenyewe hapo katikati baada ya ‘Muziki’ nimefanya nyimbo
nyingi sana, na ningeweza kusema mwanangu tufanye, nilikustaki kufanya
ilimradi eti kwa sababu ni...
Juzi kati msanii Diamond Platnumz alikuwa jijini
Nairobi katika media tour ikiwa ni pamoja na kumtambulisha msanii wake
mpya ambaye amemsaini kwenye lebo yake ya WCB Wasafi anayefahamika kwa
jina la Lavalava.
Na moja kati ya media ambazo alifanya nazo interview ni pamoja na NTV ambapo DIamond alitisha kwenye kipindi cha The Trend. Diamond Platnumz aliulizwa maswali mengi ila moja kati ya hayo ni pamoja na angependa watoto wake wawe...
Hakuna asiyetambua ugumu ambao anaupitia Zari The Boss Lady kwasasa, ikiwa ni pamoja na kufiwa na aliyekuwa mwanaume wake ambaye walifanikiwa kupata naye watoto watatu, Ivan Semwanga almaarufu kama Ivan Don.
Lakini bado mwanamama huyo ameonekana kusimama imara na kucheza vyema nafasi yake kama mama bora kwa watoto wa marehemu Ivan Don ikiwa inaeleweka fika hivi sasa Zari yuko...
Rapa Godzilla amekanusha kuwekwa ndani kimapenzi na aliyekuwa mtangazaji wa Clouds Fm, Dee Andy.
Wawili hao hapo awali walidaiwa kutoka kimapenzi.
Kupitia mtandao wa twitter Godzilla amebainisha suala hilo halipo kama lilivyoandikwa kwenye mtandao flani ya kijamii.“Mwambieni yuke boya aliyeandika Jamii Forum nakaa ndani tu kisa Doreen this is...
Ludacris aamua kuweka wazi kuhusu bifu lake na Drake kwamba lilishamalizwaga kitambo hata kabla ya kuja kutangaza kwenye tuzo za Billboard.
Wakati album ya “Views” ilishinda tuzo ya Top Billboard 200 Album katika utoaji tuzo wa Billboard, Drake
alitumia fursa hiyo kufunguka kwamba yeye na Ludacris hakuna tena bifu,
Nikukumbushe kwamba bifu la wawili hao lilianza...
Mtayarishaji wa muziki kutoka studio ya Wasafi Records, Lizer
amemtaja msanii wa WCB ambaye anafurahi zaidi akiwa anafanya naye kazi.
“Msanii yoyote anayejua mimi nina
enjoy sana kufanya naye kazi, ukimuelekeza fuata hiki anafuata lakini
naweza kusema kwa kuwa Raymond ndiye msanii aliyegundua kitu kilichopo
ndani ya...
Msanii wa muziki wa kughani nchini Tanzania, Mrisho Mpoto
amesikitishwa na kifo cha Mzee Francis Kanyasu aliyechora Nembo ya Taifa
na kusema anatamani siku zirudi nyuma ili aweze kuongea naye tena.
Mpoto amefunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kudai
Mzee huyo alishawahi kumsaidia kumpa wazo la kufanya video ya wimbo wake
wa ‘Njoo Ichukue’. “Hii ni taarifa ya kunisikitisha sana kwenye maisha yangu ya muziki,
nakumbuka kabla ya...
Msanii wa Bongo Fleva, Dogo Janja amefunguka kwa kusema kuwa yeye
hana mpango wa kufanya biashara ya nguo kama wasanii wengine bali
anafikiria kuwa na bidhaa za michezo za watoto. Dogo Janja ameimbia show ya XXL kuwa amejipanga kuja na brand ambayo itatoa vitu vya watoto kama game.
“Yaani mimi nitakuwa na deal na madogo, madogo janja Mungu akijalia
niweze kusafiri nikaenda kuifanyia mitikasi hiyo nikirudi hapa narudi na
bidhaa. Unajua ukifanya biashara na mtu mzima...
Harmorapa amefunguka kuhusu video inayosambaa mitandaoni ikimuonyesha amevaa gauni na kiremba kichwani.
Chipukizi huyo asiyeishiwa vituko amedai kuwa, anamkubali sana
Alikiba hivyo alipomuona wiki iliyopita katika kipindi cha Lip Sync
Africa kinachoruka kupitia runinga ya MTV SA akiwa amevalia...
Baaada ya kumalizika mchezo kati ya Manchester United na Ajax, na Man
United kutwaa ubingwa wa UEFA Europa League, mastaa wale mashabiki wa
Man United wamekuwa na utani wa hapa na pale huko Ommy Dimpoz akiwatania
mashabiki wa Arsenal kuwa...
Polisi wa Kuwait wamemkamata njiwa aliyekuwa amebeba dawa za kulevya
aina ya Ketamine ambaye alikuwa amenasa kwenye bati la jengo la forodha
katika Bandari ya Abdel iliyopo mpakani mwa Kuwait na Iraq.
Katika taarifa iliyoripotiwa na BBC njiwa huyo alikamatwa baada ya
kushindwa kuruka baada ya kuzidiwa na uzito wa dawa hizo ambapo alikuwa
amebebeshwa kibegi kidogo mgongoni kilichojazwa vidonge 178 vya dawa
zinazoaminika kuwa na...
Wasanii G Nako na Belle 9 katika project yao mpya ‘Ma-Ole’ ni kwa
ajili ya kusherehesha kwenye harusi, na ni mwanzo wa kuwaandikia
maharusi nyimbo kwa wale watakaohitaji.
Belle 9 amesema wakati wanatoa wimbo ‘Give It To Me’ akiwa na G Nako
walipata show kadhaa za pamoja ambazo walienda kufanya kwenye harusi
tofauti tofauti ndipo wakawaza kuja na...
Mwimbaji Diamond Platnumz alikaa kwenye Exclusive Interview na On AiR
with Millard Ayo siku mbili zilizopita na kuzungumzia ishu mbalimbali
akiwa na kundi lake la WCB kwenye kumtambulisha msanii mpya wa WCB
aitwae Lavalava.
Pamoja na maswali mengine, Diamond alijibu kuhusu Mpenzi wake Zari
kwenda kumjulia hali Ivan ambaye ni mzazi mwenzie ambapo japo Mashabiki
wengine walionyesha kutopenda Zari kumjulia hali, Diamond alisema...
Ni kawaida kwa wasanii movie kuweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya
kushoot filamu zao, sasa mpenzi wa malkia wa filamu Aunt Ezekiel, Mose
Iyobo amempiga marufuku mrembo huyo kulala kambini kisa wivu wa
kimapenzi.
Mose Iyobo ameimbia show ya XXL kuwa mwanzoni suala hilo lilikuwa linamuumiza kwa sababu walikuwa...
Alfajiri ya leo May 25, 2017 ziliripotwa taarifa za kifo cha aliyekuwa Baba wa watoto wa Zari The Boss LadyIvan Semwanga ambaye ni mfanyabiasha maarufu kutoka Uganda.
Watu mbalimbali wametuma salamu zao za rambirambi kwa msiba huo akiwemo Diamond Platnumz ambaye ni mpenzi wa sasa wa Zari na wakiwa na watoto wawili, Diamond aliweka picha ya mshumaa na kuandika...
Manchester United wameshinda fainali ya Kombe la Europa kwa kuifunga Ajax Amsterdam kwa mabao 2-0 mjini Stockholm Sweden. Magoli ya Paul Pogba na Hendrick Mkhitaryan yameipa United sio tu
Kombe bali pia...
Aliyekuwa mwanamitindo wa Diamond Platnumz na timu ya WCB, Q Boy
Msafi amethibitishwa kutokuwapo ndani ya lebo hiyo baada ya kufutwa kazi
kutokana na kosa alilofanya.
Q Boy amesema kuwa alifanya kosa ambalo linahusu gari la Zari (mpenzi
wa Diamond Platnumz) na licha ya kuwa kosa lile ni la kibinadamu kwamba
yeyote angeweza kulifanya, lakini uongozi wa WCB uliamua kumfuta kazi, Q Boy alitoa kauli hiyo akifanya mahojiano na kituo kimoja jijini Dar
es Salaam ambapo alisema kwa sasa anajikita zaidi katika...
Muigizaji Jackline Wolper amesema yeye na msanii Diamond Platnumz
wana uhusiano wao ambao ni kiwango cha juu kwani wamekuwa wakishirikiana
katika mambo mengi.
Katika segment ya kikaongoni inayorushwa na EATV (facebook) inayotoa
fursa kwa watu kumuuliza mgeni maswali, moja ya swali lilitaka kujua ni
iwapo Wolper alishakuwa na uhusiano wa kimapenzi na...
Kifo cha mfanyabiashara maarufu na aliyekuwa mume wa Zari The Boss lady, Ivan Semwanga ni moja kati ya habari zinazozungumzwa sana kwenye mitandao ya kijamii kwa kugusa hisia za wengi.
Baada ya Zari kuthibtisha kifo cha aliyekuwa mume
wake, watu mbalimbali wamekuwa wakituma salamu zao za pole kwa familia
wakionesha kusikitika kwa kuguswa na msiba huu ambapo miongoni mwa watu
hao ni Miss TZ 2006 Wema Sepetu.
Wema aliandika kwenye account yake ya Instagram: “Broken...
Baada ya Ben Pol kuchafua hali ya hewa kwenye mitandao ya kijamii
kuanzia Alhamisi ya wiki iliyopita kutokana na picha zake
zinazomuonyesha akiwa nusu mtupu kuenea mitandaoni na kumsababishia
kukutana na mvua kubwa ya matusi, msanii huyo amefunguka sababu ya
kufanya hivyo.
Muimbaji huyo ambaye ameachia wimbo wake mpya ‘Tatu’, ameiambia Bongo5
Junanne hii kuwa alifanya hivyo ili kuendana na...
Mzazi mwenzake na Zari The Bosslady, Ivan Ssemwanga amefariki dunia
katika hospitali nchini Afrika Kusini alipokuwa amelazwa kutokana na
matatizo ya moyo.
Ivan ambaye alifanikiwa kupata watoto watatu na Zari, baby mama wa
Diamond Platnumz, alikimbizwa hospitalini mapema wiki iliyopita baada ya
kupoteza fahamu. Kupitia mtandao wa Instagram, Zari amethibitisha
kutokea kwa tukio hilo kwa...
Msanii wa muziki, Zuwena Mohammed aka ‘Shilole’, amedai yeye ni shabiki wa damu wa Diamond na sio Alikiba. Akiongea katika Kikaango cha EATV Jumatano hii, Shilole amedai anampenda
Diamond kutokana na vile alivyo pamoja na vitu anavyofanya. “Mimi namkubali zaidi Diamond Platnumz kuliko Alikiba,” alisema Shilole.
“Nampenda Diamond kutokana na mambo yake na vile...