Jambo hilo limefanya mashabiki waongee maoni yao, huku wengine wakisema Hamisa ameguswa na hivyo amemjibu Diamond baada ya...







Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Mr. Nice amesema anajua kwa sasa
Dudu Baya ana hali mbaya ila kama msanii huyo anatajitokeza yeye yupo
tayari kumsaidia ili aweze kuendelea na muziki wake.


Baada ya msanii wa muziki wa Bongo Flava, Lady Jadee kusaini kufanya kazi na label ya Taurus Musik amefunguka mambo machache. Lady
Jaydee amesema label hiyo itakuwa ya pili kufanya nayo kazi tangu mwaka
2001, kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram Lady Jaydee
ameandika;







