Pages

Pages - Menu

Thursday, September 20, 2018

STEVE NYERERE AOMBA SOUDY BROWN NA MAUA SAMA WAPEWE DHAMANA



Wakati msanii wa muziki, Maua Sama pamoja na mtangazaji wa kipindi cha Shilawadu, Soudy Brown wakiendelea kusota rumande huku wasanii wengi wa kionekana kuwa kimya, Alhamisi hii muigizaji Steve Nyerere ameibuka na kuamua kulizungumzia sakata hilo.

Steve ameomba wadau hao wa sanaa kuachiwa halafu waje kuomba msamaha kwa wananchi kwa...

MANGE KIMAMBI: HUYU DIAMOND MWISHO WAKE HAUTOKUA MZURI MAANA ANAROGWA NA WANAWAKE ZAKE

Image result for Mange Kimambi na Wema Sepetu
Mange Kimambi ndiye alianza kumchokonoa Wema Sepetu kwa kumuita ‘NYUMBU’ na kumwambia kuwa ni mnafiki kwani ukaribu wake na Diamond Platnumz ndiyo unaomfanya amdhalilishe, Hamisa Mobetto kwa kumuita mchawi.

Sakata hilo la Mobetto kuandamwa na familia nzima ya Diamond Platnumz akiwemo Wema Sepetu kuwa ni mchawi, limekuja baada ya Voice Note inayodhaniwa kuwa ni ya Mobetto kuvuja mtandaoni ikisikika akiongea na mganga wa kienyeji akitaka kumroga Diamond ili arudishe...

KANYE WEST AAMUA KUJISHUSHA NA KUOMBA MSAMAHA KWA DRAKE

Rappa Kanye West ajishusha na kumuomba Drake msamaha kupitia ukurasa wake wa twitter hii ni baada ya diss aliyoitoa Drake kwenye ngoma aliyoshirikishwa na French Montana .

Kupitia msamaha huo aliouomba Kanye amegusia vitu vingi ambavyo vilisababisha kuwepo na tofauti kati yao ikiwemo ishu ya kuingilia mwezi ambao Drake alitakiwa kutoa album yake ya ‘Scorpion’ mwezi June na yeye ndipo...