Hili ndilo basi ambalo El Merreikh wamewapatia Azam FC baada ya kuwasili
Khartoum.
WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Azam FC
wamepata mapokezi ya ‘kigaidi’ mjini Khartoum, Sudan baada ya kuwasili
usiku wa kuamkia leo kwa ajili ya mchezo na wenyeji, El Merreikh.
No comments:
Post a Comment