DIAMOND NA ZARI WAENDA KULA RAHA KTK KISIWA CHA MAHABA
Unaambiwa Mtoto Zari Hakubaki nyuma siku ya Wapendanao , Kampandia ndege
Diamond na Kutua Bongo , Hapo kwenye picha Wakienda zao... Zanzibar kula
Raha
DIAMOND amepost picha hiyo na kuandika #ValentineWeekEndInZanzibar
No comments:
Post a Comment