Pages

Pages - Menu

Wednesday, March 18, 2015

KAJALA ARUDIANA NA PRODUCER P-FUNK

Mwigizaji wa Kike Kajala Masanja Mwenye ugomvi na Wema sepetu Baada ya Kuchukuliana Mabwana inasemekana kwa sasa ameamua kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Producer P-funk Majani ...Ambae ni Baba wa Mtoto wake Anayejulikana kama Paula.

No comments:

Post a Comment