KWA MARA YA KWANZA DIAMOND AZUNGUMZIA UPASUAJI ALIO FANYIWA ZARI
Zimeonekana picha na video zikumuonesha Diamond Plutnumz akiwa Hospitali
akifanyiwa upasuaji wa mguu, magazetini kukawa na Headlines zilizoandikwa
kwamba alinusurika kukatwa mguu.
Soudy Brown amemtafuta Diamond ambapo ishu ya mguu amesema alifanyiwa
upasuaji huo wa mguu kutokana na... kichuma alichokuwa nacho siku nyingi
kwenye mguu, kwa sasa amepona.
Kuhusu afya ya mama yake amesema baada ya kurudi India kwenye matibabu
amepona kabisa, ishu ya ujauzito wa mpenzi wake Zari, Diamond amesema
anatarajia mtoto wake wa kwanza na anamsubiri mtoto wake huyo kwa hamu sana.
No comments:
Post a Comment