Maskini Huyu mtoto amezaliwa usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya
serikali ya Shinyanga akiwa na Vingo sehemu zisizo sahihi na baada ya muda
alifariki Dunia Najiuliza kwa Sauti Je nini Sababu za Watoto Kama Hawa ? Kwani matukio ya
wazazi kujifungua watoto wa ajabu yamekuwa mengi nyakati hizi.
No comments:
Post a Comment