MARTIN KADINDA: SIPENDI DRAMA ZA WEMA TEAM WEMA MSINITUSI
Meneja wa staa mrembo, mjasiliamali na mwigizaji wa filamu, Wema
Sepetu , Martin Kadinda ametoboa kuwa anapenda kila kitu kuhusu Wema
isipokuwa ‘drama’ zake na kuwasihi watu ambao ni mashabiki na watetezi
wa Wema Sepetu kwa kila jambo huko... mtandaoni maarufu kama Team Wema
wasimtukane .
Meneja huyo ambaye ni mbunifu wa mavazi aliyasema hayo hivi juzi kati
kwenye ukursa wake mtandao mara baada ya kubandika picha ya Wema akiwa
ndani ya ofisi ya Hospitali ya kimataifa ambayo imeingia mkataba na Wema
kuwa Balozi wa hospital hiyo.
“Sichoki Kumwomba Mungu... Naamini ipo siku tutafika kileleni..... I
love Every thing About Her kasoro drama tu team wema msinitusi”- Kadinda aliandika.
No comments:
Post a Comment