Wiki kadhaa sasa zimepita toka tuweke skendo ya Mwanamuziki Shetta
Kulala Hotel na chumba Kimoja Huko Morogoro Walipokwenda Kwenye mazishi
ya Abdul Bonge.
Sasa kilichofatia baada ya Skendo hiyo ni mke kuondoka nyumbani baada
ya skendo hiyo kuzagaa mitandaoni na magazetini na Baada ya baadhi ya
watu kumzibitishia.
Shetta mwenyewe amekiri walilala... Hotel moja lakini sio chumba kimoja kama watu wanavyosema.
Shetta kwa sasa yupo katika harakati za kumrudisha mke wake nyumbani ili
walee mtoto wao amemnunulia gari aina ya Toyota Mark X lakini mkewe
bado amekataa kurudi nyumbani..
shettatz" Asante Mungu kwa hichi kidogo ulichonipa Mamake Qayllah na
mwanangu @officialqayllah kidogo nao wajisikie raha #StriveForGreatness
#ShikoroboTourLoading "
No comments:
Post a Comment