LULU ARUDI INSTA KWA KISHINDO... ATUPIA PICHA ZAKE...
Baada ya kuifunga akaunti yake kwenye mtandao picha wa Instagram iliyokuwa
na followers zaidi ya laki nne, na kuamua kufungua tena akaunti kwenye
mtandao huo, staa mrembo wa Bongo Movies, Elizaberth Michael ‘Lulu’
ametupia picha hizi... mpya kwenye ukarara wake huo mpya unaopatikana kwa
anuani ya @ elizabethmichaelofficia kitendo ambacho kimewavutia mashabiki
wengi waliommiss mrembo huyo ambaye ni mpenzi wa fasheni.
Mashabiki wengi wamemsifia kwa kutokeleza bomba na kuonyesha furaha zao kwa
juio wake tena mtandandaoni humo kwani wanampenda na kumkubali sana.
Karibu tena Lulu
No comments:
Post a Comment