Mwanamuziki Diamond Atoboa SIRI ya Wapi Alipoiga Staili ya Kucheza ya
Sonkoro Aliyoitumia Kwenye Wimbo Mpya wa Nana.......Ametoboa Siri hiyo
Katika Ukurasa wake wa Instagram kwa Kusema Haya Hapa:
- *Diamondplatnumz '*If you Don't know Yet...we Got this #Sankoro Moves
from our Legend Brother... @fallyipupa01 #NetNaFilm #Nana Watch the Video of
that Nana Song by Clicking the Link on my BIO OYa! #Sankoro ABi! KAMA
Ronaldo...!!'
No comments:
Post a Comment