DIAMOND NA MAFIKIZOLO WAANZA KUSHOOT VIDEO YA WIMBO WAO
Collabo ya msanii wa Afrika Mashariki, Diamond Platnumz na wasanii wakongwe wa Afrika kusini, Mafikizolo imeanza kunukia. Video ya wimbo huo unaoitwa ‘Colours of Africa’ ambao pia msanii
mwingine wa Afrika kusini, Dj maphorisa ameshirikishwa imeanza
kushootiwa jana Afrika kusini. Memba wa kundi la Mafikizolo, Theo
ameandika... “South africa (Mafikizolo) Dj maphorisa (South africa)
Tanzania (Diamond Platnumz) collaborate in a song colours of africa,
shooting a music video today”
Wimbo huo ulirekodiwa tangu mwezi june mwaka jana 2014.
No comments:
Post a Comment