
Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinum alisherehekea siku ya Boxing Day kwa kupunga upepo baharini akiwa na mama mtoto wake, Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ pamoja na dada zake , Esma Platinum na Queen Darleen. Vilevile meneja wa diamond Sallam na staa mkongwe AY walikuwepo kwenye boti ambayo Diamond aliltumia kumpeleka fukwe za mbali. See pics inside...




No comments:
Post a Comment