Kiapo cha kutochora tena michoro (tattoo) katika mwili wake,
alichokitoa msanii wa filamu Bongo, Esha Buhet, kinamtesa baada ya
kukikiuka kwa kujichora Mchoro mkubwa zaidi ya hapo awali. Akizungumza na
mwandishi wetu juzikati, Esha alisema alikula kiapo cha kutojichora mwili
wake, lakini amelazimika kukivunja baada ya... kuamua kumuenzi mama yake
mzazi. “Nimefanya hivyo kwa ajili ya mama yangu, nimeona sina sehemu ya
kumuweka zaidi ya mgongoni kwangu tena kwa maandishi,” alisema Esha.
No comments:
Post a Comment