Kufuatia kuwepo kwa taarifa kuwa Mwigizaji Aunt
Ezekiel amempiga chini mpenzi wake Moses Iyobo, mrembo huyo ameibuka na
kusema taarifa hizo hazina ukweli. Akizungumza na paparazi wetu, Aunt alisema... madai hayo ya kuachana na
mpenzi wake huyo yanatengenezwa na watu wake wa karibu hivyo
akijiridhisha, atawatumbua.
“Wanaowaza kuwa mimi na Mose tunatarajia kugombana leo au kesho wako
kwenye ndoto kali sana kwa kuwa hatujawahi kuwaza wala kufikiria kuhusu
kuachana kabisa, nimeshatonywa wanaoeneza umbeya huo soon nitawatumbua,”
alisema Aunt.
No comments:
Post a Comment