Kundi la ‘Navy Kenzo’ limepata shavu la ubalozi wa promotion mpya ya Airtel ‘Jipime Airtel Yatosha’. “Tunapenda kuwataarifu rasmi kama Navy Kenzo ni Ambassador wapya wa
#JipimieAirtelYatosha ambayo ni bundle mpya na... za kipekee wewe kama
mteja unaweza kujipimia chochote utakacho iwe dakika, sms au Mb pekee au
vyote tu piga *149*98# #jipimieyatosha,” wameandika kwenye Instagram ya
kundi hilo linaloundwa na wasanii wawili Aika na Nahreel. Haya ni baadhi ya matunda ya uwekezaji kwenye kazi zao, ‘Game’ na ‘Kamatia’ ni moja ya kazi zao zilizowapa umaarufu mkubwa.
No comments:
Post a Comment