BAADA YA NAY KUCHEPUKA DEMU WAKE NAYE ACHEPUKIA KWA BELLE 9
SIYO siri tena! Baada ya mkali wa Muziki wa Bongo Fleva, Emmanuel
Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kuchepuka kwa msichana wa Kihabeshi mwenye
asili ya Ethiopia, aliyekuwa mpenzi wake Lulu Abass ‘Lulu Diva’ naye
ameamua kugeukia kwa staa wa muziki, Abedinego Damian ‘Belle 9’.
Akizungumza na Over Ze Weekend Lulu ambaye ni muuza nyago kwenye video
za Kibongo alidai kuwa, Nay hajatulia na badala yake anahitaji kuwa na
mtu asiye na skendo za kutembea na wanawake ovyo na... Belle 9 ndiye tulizo
lake.
“Ni ukweli Nay nilikuwa naye kwenye uhusiano nikifahamu alishawahi kuwa
na msururu wa wanawake lakini siyo siri yamenishinda na sasa nahitaji
kujiweka kando. Sasa hivi feelings zangu zote zipo kwa Belle na analijua
hilo,” alisema Lulu
No comments:
Post a Comment