VIDEO: BIFU LA WEMA SEPETU NA HARMONIZE LACHAFUA HALI YA HEWA
Kuna bifu kubwa sana limeibuka kati ya msanii wa Wasafi Harmonize na
team Wema baada ya Harmonize kutoa freestyle yenye maneno ya kumkashifu
Wema Sepetu.
Kijana Harmonize mpaka sasa anaoga matusi yote ya dunia hii kutoka kwa team Wema. kwenye clip hiyo Harmonize aliskika akisema: Naskiaga wanasema uzuri wa nyumba usikufanye utembee peku, "sista duu usitoe mimba ukaja kulia kama Sepetu " - Harmonize
No comments:
Post a Comment