
Mwananmuziki Diamond Platnumz ametajwa kwa mara ya pili kuwania tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act: Africa, mwaka huu 2016. Wakali wengine wanaowania tuzo hiyo ni pamoja na Wizkid, Yemi, AKA na wengineo.Tuzo hizo zitatolewa mwishoni mwa mwezi Juni nchini Marekani.
No comments:
Post a Comment