KUTOKA MTV BASE: DIAMOND ANA COLLABLE NA CHRIS BROWN
Tegemea kuwasikia Diamond na staa wa Marekani, Chris Brown kwenye ngoma moja. Kutuo cha runinga cha MTV Base kimetoa taarifa hiyo ya muhimu kwa
mashabiki wa staa huyo wa Bongo Fleva kupitia Instagram yao, wameandika “@diamondplatnumz working on a future project with #chrisbrown,”
Taarifa hiyo imepokelewa kwa shangwe na mashabiki wa Diamond, ambao
wameonekana na... shauku ya kusikia zaidi kuhusiana na collabo hiyo ambayo
Diamond mwenyewe bado hajaizungumza.
No comments:
Post a Comment