Miezi michache iliyopita mwanaBongomovie Lulu aliamua kumtangaza mpenzi
wake hadharani kua ni Majay, mkurugenzi wa Efm. Na maswali ya mashabiki
wengi yakawa ni kweli watadumu au ndo atakua kafika na kuamua
kuolewa????
Lulu aliamua kujibu maswali hayo pale alipoamua kujibu maswali aliyokua
akiulizwa na mashabiki wake kwa njia ya video. Katika video hiyo Lulu
aliamua kufunguka mambo mengi sana ikiwemo ufafanuzi wa picha aliyopost
ikionyesha... kua ana mimba, kama ataolewa au la, na mengine mengi. Unaweza
mskiza katika video hii hapa chini
No comments:
Post a Comment