DIAMOND ATANGAZA KUACHIA WIMBO WAKE NA P SQUARE HIVI KARIBUNI
Kama ulikuwa unaisubiri collabo ya Diamond na wasanii wa
kundi la Psquare basi muda umewadia, Collabo hiyo inatoka hivi karibuni. Diamond ametangaza ujio wa collabo hiyo iliyosubiriwa kwa muda mrefu kupitia Instagram, “Don’t tell your friend to tell a friend, tell anybody to tell
everybody that Platnum Diamond will be dropping his next featuring
Psquare... soon” amesema kwenye kipande cha video alichoweka Instagram. Hii itakuwa video ya kwanza kwa wasanii hao wa Psquare kuonekana
pamoja tangu ugomvi wao ulivyoibuka, japo inasemekana kuwa walishapatana
lakini bado hawajaachia kazi ya pamoja.
No comments:
Post a Comment