Enewz ilipata nafasi ya kupiga naye story na kutaka kujua ni ishu gani huko UK anayoifanya. Naj alisema kule UK anafanya biashara ya kupangisha watu nyumba yaani
yeye anachukua nyumba nyingi na kuwapangishia watu nyumba hizo, ni
biashara ambayo Naj anasema... inamlipa kinoma noma na kumfanya maisha yake
yaende poa.
Hata hivyo Naj ameendelea kuiambia Enews kwamba ana ndoto za kufunga
ndoa na mpenzi wake wa sasa Baraka,hivyo wapenzi wao waendelee kuwaombea
mema na baraka katika mahusiano yao ili waweze kufika mbali.
Pia Naj amesema yeye kwa sasa hasomi tena mbali ana dili na ishu za
movie, uimbaji na biashara mbalimbali akiwembo hizo za kupangishia watu
nyumba UK na biashara nyingine hapa hapa nchini
No comments:
Post a Comment