Watanzania Diamond Platnumz na Millen Magese ni moja ya
mastaa walipoendeza zaidi kwenye Red carpet ya tuzo za BET 2016
zilizofanyika usiku wa jana huko Los Angeles Marekani. Tazama hapa...
Tumekuwekea picha za mastaa mbalimbali kwenye Red Carpet hiyo.
No comments:
Post a Comment