HII NDIYO SABABU YA ALIKIBA KUTO KAA NA WANAWAKE ALIO ZAA NAO
Alikiba ameitaja sababu iliyomfanya ashindwe kumuoa mwanamke yeyote kati ya watatu aliozaa nao. Hitmaker huyo wa Lupela alisema kuwa
hakupenda kulazimisha iwe hivyo.“Unajua hauwezi kumuoa mtu kama
hamuelewani.
Nia yangu ilikuwa ni kustick na kila mama wa mmoja toka nilipoanza.
Lakini mambo yanaenda tofauti, huenda mnagombana anapata mtu mwingine,”
anasema Kiba.“Kwahiyo hautakiwi... kuforce mapenzi, mimi nataka nikae na
mtu ambaye tutaelewana,” ameongeza.
Alikiba ana watoto wawili wa kike, Amiya Kiba, Chamy Kiba na mmoja wa kiume, Sameer Kiba. Wote ni watoto wa mama tofauti.
No comments:
Post a Comment