Video ya wimbo wa Diamond aliowashirikisha P-Square ikifikisha views
milioni 5, ingine itatoka, kwa mujibu wa meneja, Sallam Sharaff. Tayari video hiyo imefikisha views milioni 4. Kupitia Instagram, Sallam ameandika...
Msanii wa muziki wa R&B kutoka Morogoro, Belle 9 amesema albamu
yake mpya ‘Vitamin Music’ itavunja rekodi mbalimbali za dunia. Muimbaji huyo amedai albamu hiyo itavunja rekodi zilizoachwa na manguli wa muziki duniani, Michael Jackson na Bob Marley.
“Albam yangu ya Vitamin Music itakuwa ni albam ya tofauti, itakuwa na
vitu vingi fantastic, itakuwa na jumbe tofauti tofauti, kutakuwa na
mada tofauti tofauti za mapenzi, maisha, hustling na pia ‘angle’ nyingi
ambazo...
Msanii wa Nigeria, Oludemilade Martin Alejo aka YCEE
amezitaja nyimbo za wasanii wa Bongo Fleva ambazo kwa sasa zinachezwa
zaidi nchini kwao.
YCEE anayetamba na wimbo wake wa ‘Omo Alhaji’ mekiambia kipindi cha
The Cruise cha East Africa Radio kuwa wimbo wa Kidogo wa Diamond
aliowashirikisha P-Square umekuwa ukichezwa zaidi kwenye vituo vya radio
na runinga za nchini humo inawezekana ikawa ni...
Video ya wimbo wa Jah Prayzah ‘Watora mari’
aliomshirikisha Diamond imefikisha viwers Million 1 ndani ya wiki
tatu tangu ilipotoka tarehe 14 mwezi August. Msanii huyo maarufu wa zimbabwe amesherekea mafanikio ya collabo hiyo
na staa wa Tanzania, Diamond kwa kukata keki na marafiki wake wa karibu.
Hii ni video ya kwanza ya staa huyo kufikisha viewers Million 1 ndani
ya muda mchache zaidi. Wimbo huo ulipotoka mashabiki wa Zimbabwe waliomba...
Diamond amejipanga vilivyo na ujio wa album yake mpya
ambayo amepania kuiingiza kwenye soko la kimataifa, Na tayari ana
collabo na mastaa wa Marekani. Belle 9 amemwaga mchele kuwa staa huyo wa ‘Kidogo’ ana collabo mpya
mbili zimekamilika ikiwemo ya Wizkid na nyingine...
Kwa mara nyingine tena, mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA
imewakumbusha watanzania kutozichezea sharubu za sheria ya makosa ya
mtandaoni, lasivyo wataishia pabaya.
“Ni vyema wananchi wakatambua kwamba uchochezi kwenye mitandao kwa
kusambaza ujumbe wenye viashiria vya uvunjifu wa amani au kuweka picha
zisizofaa kwenye mitandao sheria ipo wazi na watu watajikuta wanaishia
pabaya, hivyo...
Serikali
ya Burkina Faso imepiga marufu shindano ya kila mwaka kwa wanawake wenye
makalio makubwa kwa maelezo kuwa shindano hilo halina maadili na
linaleta ubaguzi katika jamii.
Tangazo la shindano hilo maarufu kama “Miss Bim-Bim” lililoonyesha
wanawake wawili wenye makalio makubwa sana, lilizua...
Msanii mkongwe wa muziki kutoka Morogoro, Afande Sele amedai
anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Morogoro kwa madai anagawa pesa
kwa watu ili kuwashawishi wajitokeze katika maandamano ya UKUTA ambayo
yamepigwa marufuku.
Afande
Rapper huyo ambaye ni mwanasiasa na aligombea ubunge kupitia cha ACT
Wazalendo katika uchaguzi uliyopita, amedai yupo...
Mrembo Faiza Ally Ameamua Kufunguka haya Hapa Chini:
"Napenda kuvaa half naked - Na najipenda kujiangalia nilivyo bomba Na
kuangalia watu wanavyo niponda najue wengi mnatamani lkn Ndio hivyo
tumeumbwa tofaut.
Msinifananishe na mtu mwenye mzigo nyuma hakunaga star mnene duniani hlf
pia...
Label ya WCB Wasafi ya Diamond Platnumz inafungua ofisi mpya
Kijitonyama jijini Dar es salaam ambayo itakuwa inajihusisha na masuala
ya kiuongozi zaidi. Akiongea katika kipindi cha Clouds E cha Clouds TV Jumatatu hii,
mmoja kati ya viongozi wa juu wa label hiyo, Sallam, amesema wanafungua
ofisi mpya ili...
Miss
Tanga mwaka 2005, Chuchu Hans amesema kuwa ndani ya mahusiano ya
kimapenzi na staa wa filamu, Ray Kigosi anajiona kama dunia yote ni
yake.
Muigizaji huyo amesema anajisikia furaha sana jinsi anavyoishi kwa kusikilizana na mpenzi wake huyo.
“Nikiwa
na Ray wangu, huwa nahisi kama dunia yote ni yangu, Ray ananidekeza
sana,”Chuchu alimwambia mwandishi.“Ana mapenzi ya kweli,
ananipenda mimi na watoto...
Drake anazidi kuonyesha mapenzi kwa Rnb staa Rihanna, This time jamaa
kanunua bango kubwa la barabarani na kumuandikia ujumbe wa pongezi kwa RIRI
kwenye tuzo za MTV Video Music Awards.
Bango limeandikwa...
Msanii
Dully Sykes amesema kabila la Wazaramo ambao wana asili ya jiji la DSM,
ndiyo wenye muziki wa singeli ambao umeshika kasi kubwa kwa sasa, na
watu wengi kusema huo ndiyo muziki halisi wa Tanzania.
Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Dully Sykes
amesema muziki wa singeli unatokana na muziki wa mchiriku ambao
ulikuwepo hapo zamani, ambao ulikuwa ukipigwa na...
Wimbo wa Barakah Da Prince na Alikiba ‘Nisamehe’ utaachiwa wiki hii.
Video na wimbo vyote vitatoka pamoja, kwa mujibu wa Barakah.
“Video itatoka kwenye exclusive MTV Base kabla ya kituo chochote,” Barakah
alimweleza mtangazaji wa Jembe FM, JJ.
Hivi karibuni Alikiba pia alishoot video yake mwenyewe na ile...
Msanii wa filamu Shamsa Ford anatarajia kufunga ndoa Ijumaa hii na
mfanyabiashara wa nguo aitwae ‘Chidi Mapenzi’.
Shamsa na Chidi Mapenzi
Muigizaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa ndoa hiyo itafanyika nyumbani kwa
wazazi wake Sinza Africana jijini Dar es Salaam.
“Kweli bhana Ijumaa hii Mungu akipenda nafunga ndoa,” alisema Shamsa Ford.
Miezi mitatu iliyopita mfanyabiashara huyo alikiri kuwa...
Diamond Platnumz ana miaka mingi ya kuvuna mapesa kutokana na show
zake. Kutoka kwenye mapokezi yaliyovunja rekodi, Meru nchini Kenya hadi
kuangusha show iliyohudhuriwa na makumi kwa maelfu ya mashabiki wenye
kiu, staa huyo ameendelea kujiweka kwenye...
Msanii wa muziki Maua Sama amesema kuwa kama atapata mwanaume sahihi wa kuzaa naye basi angependa kuzaa watoto mapacha. Muimbaji huyo anayefanya vizuri na wimbo ‘Mahaba Niue’ amedai kuwa angependa familia yake iwe na watoto wawili au
watatu.
“Nikipata mume, nataka nizae watoto wawili au watatu siyo mbaya, kwa
sababu anapenda sana nipate wakiume na kike, nikipata pacha...
Mkali wa smash hit iitwayo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa mtoto wake wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari. Taarifa hizo staa huyo alizitoa leo August 21, 2016 kwenye mtandao wake wa instagram na kuyaandika haya:
Ukiwa na Mwanamke Mzuri, Superstar, Ambae shilingi Mia miambili haimpigi
chenga, Halaf ana akili, Akakuzalia Mtoto wa kike’‘Halaf mtoto nae
Star, halaf akawa na Mimba yako Nyingine ya...
Muimbaji nguli wa muziki Tanzania, Lady Jaydee amekava jarida maarufu
la wanawake, mahusiano, maisha na mitindo, True Love la Kenya. Jarida hilo hupatikana Kenya, Uganda, Tanzania na Rwanda.
Kwenye jarida hilo la mwezi huu, Jaydee amefunguka kuhusu sababu za
kuachana na mume wake, Gardiner G Habash, kutamani kwake kufanya kazi na
Usher na kwanini hawezi kujichubua.
Mtandaoni wa Tizneez ametoa exclusive ya kwanini Msanii Ruby hakuonekana
Mwanza wala kupanda katika jukwaa la Fiesta wakati alikuwa mmoja wa
wasanii waliosajiliwa.
Hivi Ndivyo mtandao huo ulivyoandika Exclusive Ruby Amezungumza mengi ila kati ya machache ni "Maslahi
yamenifanya nisiende kwenye Fiesta, Kisa ni Clouds ndio nisiwe free na
kuongea, end of the day it's not about clouds it's about my
future. Katika shindano la...
Msanii Diamond Platnumz anasema kabla hajatoka kimuziki alikuwa anafanya
biashara ya kuuza mitumba na biashara hiyo ndiyo iliweza kumkutanisha
na 'Producer' Bob Junior ambaye aliyetengeneza kazi zake za kwanza
ambazo zilimtambulisha kwa watanzania.
Diamond
Platnumz alisema hayo kwenye kipindi cha Planet bongo ya East Africa
Radio na kudai kuwa yeye alikuwa anapenda sana kumuonyesha onyesha nguo
Bob Junior na wenzake ili aweze...
Msanii Kassim Mganga ambaye awali alikuwa ni moja kati ya wasanii kutoka
katika kundi la Tip Top Connection amesema ukimya wa kundi hilo
unamuumiza na kumgusa sababu yeye bado ni mwanafamilia wa Tip Top
Connection licha ya kutofautiana kibiashara. Kassim
Mganga akiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo alisema yeye bado ni
mwanafamilia wa Tip Top Connection hivyo alikuwa anapenda...
Ni takriban miaka miwili sasa, Fid Q amekuwa akiahidi kutoa album
yake Kitaaolojia, lakini sasa huenda akaitimiza mwishoni mwa mwaka. Akiongea na mtangazaji wa Jembe FM, JJ, Fid amedai kuwa Kitaaolojia
inaweza kutoka November au...
Aliyekuwa mpenzi wa msanii wa filamu Aunty Ezekiel, Jack Pemba
ameonekana akila bata nchini Uganda na aliyekuwa mpenzi wa zamani wa
Luteni Karama, Isabela Mpanda. Muimbaji huyo wa Kundi la Scorpion Girl pamoja na wenzake wapo...
Akizungumza kwenye
kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio, Mkuu wa masoko wa kituo EATV, Roy
Mbowe alisema tuzo hizo zitakuwa na vipengele 10 zitakazohusisha
muziki, filamu na tuzo moja ya heshima.
Mambo mengi yametokea wiki hii kuanzia Wema Sepetu kuachana na mpenzi
wake Idris Sultan hadi Miss Tanzania huyo wa mwaka 2016 kuhudhuria
birthday party ya binamu wa Diamond, Romeo na kukutana na vijana wa WCB.
Kutokana na Wema kujumuika na vijana wa himaya ya WCB, kumezuka
tetesi kuwa huenda ukaribu kati ya muigizaji huyo na Diamond unaweza
ukawa ni zaidi ya maex wawili walioamua...
Mtanzania
Mbwana Samatta ameendelea kung’a barani Ulaya kwa kupachika mabao baada
ya jana kuifungia bao timu yake ya Genk, na kiwezesha kupata sare
ugenini dhidi ya NK Lokomotiva ya Croatia. Katika
mchezo huo uliopigwa katika dimba la Stadion Maksimir nchini Croatia
ulimalizika kwa sare ya mabao 2-2 ambapo Genk ndiyo waliokuwa wa kwanza
kupata mabao yao kupitia kwa Leon Bailey dakika ya 35 na Mbwana Samatta
dakika ya...
'Rapa' DNA kutoka nchini Kenya amefunguka kile ambacho watu wengi
wanakitilia mashaka, kuhusu msanii wa muziki wa kizazi kipya Lucas
Mkenda, au Mr. Nice na uwezo wake kwa sasa kwenye game.
Akizungumza
kwenye The Cruise, DNA amesema Mr. Nice ni msanii
mkali kwa Afrika Mashariki, kwani amefanya...
Msanii Jux ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa 'Wivu'
amefunguka na kusema muonekano wake pamoja na mavazi yake yamemsaidia
kumuweka mahali fulani katika kazi yake ya muziki.
Juma
Jux alisema
na kudai kuwa alitambua kuwa muonekano unaweza kumsaidia katika muziki
ndiyo maana kabla ya kutoka kwenye muziki alianza...
Baadhi ya wana hip hop wanadai kuwa Nay wa Mitego hafanyi hip hop
halisi, lakini rapper huyo controversial amepata shavu ambalo hakuna
msanii wa hip hop Bongo amewahi kulipata – kupewa shavu na rapper
mkongwe, Snoop Dogg.
Asante kwa video ya kuchekesha inayomuonesha babu akicheza na
mwanamke mwenye makalio ya haja iliyochanganywa na sauti ya wimbo wa
mpya wa Nay wa Mitego, Good Time, sauti yake imesikika kwa...
Diamond Platnumz anachekelea tu sasa hivi kwasababu wimbo wake Kidogo
aliowashirikisha mapacha wa P-Square umepanda daraja zaidi kwenye
playlist za redio yenye heshima kubwa Uingereza, BBC Radio 1Xtra, Na ili kujua ukubwa wa hiki kilichotokea ni vyema ukafahamu kuwa ni
nyimbo chache sana za Afrika zilizowahi kuingia kwenye playlist ya kituo
hicho maarufu kwa burudani UK.
Tuliripoti siku chache zilizopita kuwa wimbo wake huo umeingia rasmi
kwenye playlist zake lakini ukawa umewekwa kwenye orodha C. Na sasa
wimbo huo umepanda hadi...
Bila ubishi Hamisa Mobetto kwasasa yupo kwenye orodha A ya
wanamitindo Tanzania, na kwenye picha zake mpya ameonesha kuwa ni mrembo
haswaa. Tazama picha zake hapa chini...
Rapper na Mjasiriamali, Kanye West amepanga kufungua maduka mapya 21 siku ya kesho, ikiwemo Afrika. Kufuatia mafanikio ya maduka yake ya nguo zake ‘The Life of Pablo
Popup shops’ yaliyopo Los Angeles, New York na Paris Kanye west ameamua...
Wasanii wa Uganda wanafahamika kwa utajiri mkubwa walionao ambao mara nyingi hupatikana kwa show za ndani zisizokauka. Eddy Kenzo si msanii wa siku nyingi nchini humo lakini amefanikiwa si
tu kuwa na mafanikio makubwa kuzidi wakongwe ikiwemo kushinda tuzo ya
BET, bali pia kujikusanyia utajiri mkubwa.
Kupitia Instagram, staa huyo ameuonesha mjengo wake wa kifahari wa Kampala na kuwaacha mashabiki wakiwa mdomo wazi. Tzama picha hapa...
Mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka nchini Ureno, ambaye pia
ni Mchezaji wa Klabu ya Real Madrid na Nahodha wa timu yake ya Taifa
, Cristiano Ronaldo (31) ameamua kuwaonyesha mashabiki wake wa mpira
zawadi aliyoamua kujizawadia baada ya kusadia Timu yake ya Taifa kutwaa
Ubingwa wa Kombe la Ulaya mnamo mwezi July mwaka huu.
Ikiwa ni siku chache kabla ya kuanza msimu mpya wa Ligi ya Hispania
(La Liga), Cristiano Ronaldo amepost katika ukurasa wake wa Instagram
gari mpya yake mpaya aina ya...
Baada ya kuonjesha kile ambacho tutakiona kwenye video ya ngoma yake mpya, Alikiba anaweza akawa ametupa jina la wimbo huo. Alikiba akiwa na warembo watakaoonekana kwenye video ya ngoma yake mpya
Mkali huyo wa Aje, ameanza kutumia neno #Kajiandae kwenye post zake
mpya, huku kukiwa na uwezekano mkubwa kuwa likawa ndio jina la ngoma
hiyo. Hata hivyo bado haijulikani iwapo Kiba alienda Afrika Kusini kushoot
video mbili au moja kwasababu...
Young Killer amefungua milango kwa mwandishi yeyote anayeweza na mwenye nia ya kumwandikia wimbo utakaokuwa kwenye level zake. Pia amekaribisha producer yeyote mchanga mwenye uwezo wa kutengeneza midundo mikali.
Young Killer ameiambia Bongo5 kuwa huu ndio muda muafaka kwakuwa
hakuwahi kuandikiwa nyimbo hapo kabla na mashabiki tayari wameshaufahamu...
Watumiaji wa mitandao ya kijamii wamelalamika kuhusu tamko la afisa
mmoja aliyesema kuwa ni kinyume na sheria kumuangalia mwanamke kwa zaidi
ya sekunde 14 katika jimbo la Kerala nchini India.
Hakuna sheria kama hiyo nchini India lakini afisa huyo Rishiraj Singh
ambaye ni kamishna amesema kuwa kumuangalia mwanamke...