Mkali wa smash hit iitwayo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa mtoto wake wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari. Taarifa hizo staa huyo alizitoa leo August 21, 2016 kwenye mtandao wake wa instagram na kuyaandika haya:
Ukiwa na Mwanamke Mzuri, Superstar, Ambae shilingi Mia miambili haimpigi
chenga, Halaf ana akili, Akakuzalia Mtoto wa kike’‘Halaf mtoto nae
Star, halaf akawa na Mimba yako Nyingine ya... mtoto wakiume.. basi
unajionea Mashia Muruaaaaaaaaaaaaaaaa๐๐๐๐๐…Lol yani Hapa najikuta
kama sjui Biligeti Mzee wa Kwio๐๐ ๐๐๐๐๐ Mi nampenda huyu dada’–
Diamond Platnumz
No comments:
Post a Comment