VANESSA MDEE AZUNGUMZIA COLLABLE YAKE NA TREY SONGZ
Ni Headlines za Vanessa Mdee ambae amekuwa ni moja kati ya wasanii wa
Africa waliochaguliwa kurekodi wimbo na mshindi wa Grammy na mwimbaji wa
RNB nchini Marekani, Trey Songz kupitia msimu wa 4 kipindi cha Coke
Studio Africa.
Akizungumza na millardayo.com & Ayo TV Vanessa Mdee aliyaongea haya: Niko Kenya nikifanya msimu wa Coke Studio Africa ambapo msimu huu
tumemkaribisha msanii wa kimarekani Trey Songz kuja kufanya
collaboration na... waafrika nikiwemo na mimi’
‘Ni experience ya kipekee sana nimefuraha sana kuwa katika nafasi hii ya
kufanya collabo nae kwani ni hatua nzuri kwangu pia kuitangaza nchini
yangu’
No comments:
Post a Comment