Baada ya maneno mengi kutoka kwa mashabiki wa upande wa pili kuwa Ommy Dimpoz hapigi mechi na pia hawamjui shemeji.
Ommy dimpoz ameamua kuweka picha ya shem wetu wakiwa pamoja, hata
hivyo picha hiyo ilikuwa na emoji zenye ishara ya malovee lakini kitu
kilichoshangaza wengi ni Ommy kublock... comment katika picha hiyo, yani
picha hiyo huwezi ku comment
No comments:
Post a Comment