Jana usiku wa manane mkali wa Bongo Fleva Diamond Platnumz alikuwa aki-stream live akipiga story na mashabiki wake katika mtandao wa Instagram, Ndipo midadi zikampanda mkali huyo na kuamua kuwaonjesha kiduchu mashabiki zake ngoma yake ambayo haijaachiwa inayoitwa Baila.
No comments:
Post a Comment