HII NDIYO POST YA BABU TALE ILIYO TREND KWA SASA MTANDAONI
Kutoka Makao Makuu ya WCB kwa Meneja wa mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz na Tip Top Connection, Babutale Jana July 25, 2017 alipost picha yenye maneno yalioandikwa... ‘Wanaume wa WCB wote waaminifu’ kupitia ukurasa wake wa Instagram @babutale
No comments:
Post a Comment