DIAMOND HAISHIWI NA VITUKO SASA AJA NA KINGINE HIKI HUKO INSTAGRAM
Usiku wa
Augst 28, 2017 staa wa Bongofleva na Boss wa WCB kutokea Tandale Diamond
Platnumz ambaye anafanya vizuri kwenye Bongofleva ameamua kutupa jiwe
gizani baada ya kuweka post kwenye Instagram yake.
Katika post hiyo ambayo ina maneno
yasiyopungua 16 Diamond amewalenga watu wanaoonesha... chuki dhidi yake na
wanaomsema vibaya vibaya kuhusu ingawa anachukulia kama changamoto.
Diamond ameandika>>>”Ka diamondi kenyewe basi, kadogodogooo tokea Tandale… sema kanavyo washuhurisha watu na Midevu yao… Hadi raha….. #ZILIPENDWA” – Diamond.
No comments:
Post a Comment