Msanii wa filamu Bongo, Salma
Jabu`Nisha’ amezima uvumi unaosambaa kuwa amebeba kibendi kutoka kwa
‘benten’ wake anayejulikana kwa jina moja la Minu kwamba hilo halipo na
wala hawezi kumzalia kwa sasa.
Akipiga stori, alisema,
ameshazoea kuzushiwa kwani hilo la ujauzito halipo na wala hajafikiria
kwanza bado yupo... ‘bize` na michakato yake ya kimaisha. “Hahaa suala la mimba siyo kweli, si
unajua watu kwa kujiongeza, nadhani alivyoweka picha yangu mtandaoni
wakahisi nimeshanasa kibendi, kumzalia bado kwa sasa,” alisema.
No comments:
Post a Comment