Mrembo aliyejipatia umaarufu hivi karibuni kwa kuwa kwenye mahusiano ya
kimapenzi na msanii Dulla Makabila anayejulikana kwa jina la Asali,
amekiri kutoa ujauzito ambao alipewa na msanii huyo.
Akiongea, Asali amesema ni
kweli mimba hiyo ametoa kwa sababu aliona Dulla hana msimamo juu yake
tangu... alipopata ujauzito.
"Kweli nilikuwa nao ujauzito na nikautoa mimi mwenyewe, niliona bado
anayumbishwa na maamuzi yake, alikasirika na alitaka kunipiga tena baada
ya kujua kuwa mwanamke wake hana mimba", alisikika Asali
No comments:
Post a Comment