CHIN BEES APINGA SWALA LA T.I KUWA MWANZILISHI WA MUZIKI WA TRAP
Unakumbuka ile stori ya ujazo kuhusu rapper T.I kufunguka kwamba yeye ndiyo mwanzilishi wa ngoma za miondoko ya Trap.
Sasa Chin Beez ameamua kufunguka juu ya hilo na kudai kwamba, T.I sio
mwanzilishi wa muziki wa Trap ila ngoma zake zimetengeneza hit kubwa
sana mpaka kufikia hatua ya... kuonekana kwamba yeye ndio mwanzilishi.
Mzee wa Kababaye
Chin Beez amepiga stori na Choice in The Morning kufunguka kuhusu ishu
ya T.I na Muziki wa Trap, kama unavyojua Chin Beez ni moja ya wasanii wa
Bongo ambao wanapiga aina ya muziki kama huo,baadhi ya ngoma zake
tukianza na ile Pepeta na Kababaye.
No comments:
Post a Comment