Ikiwa leo, January 29 ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa (birthday) ya
mama mazazi wa Drake, Sandi Graham , msanii huyo hajachukuliwa poa siku
hiyo.Drake ambaye mara kadhaa amekuwa akionekana katika matukio makubwa kama ugawaji wa tuzo akiwa na mama yake, ameshare picha tatu wakiwa pamoja na kuandika...
Only love my bed and my mama, i’ m sorry . Happy Birthday.



No comments:
Post a Comment