Staa wa muziki NigeriaPeter Okoye kutoka kwenye kundi la Psquare ambaye
amekuwa akifanya kazi peke yake kama solo artist tangu kundi hilo
liliposambaratika ametangaza ujio wa brand yake ya nguo ambayo itakuja
hivi karibuni.
kupitia ukurasa wa instagram wa Peter Psquare ameweka wazi suala hilo baada ya kupost picha akiwa amevaa nguo ambayo... itapatikana katika brand ya nguo zake. “Habari zenu, hii ni kutoka
kwenye brand ya nguo zangu,msijali kuhusu maandishi ya jina langu ni
kwaajili yangu binafsi . Mnafikiriaje?? Jina la brand ya nguo zangu
litatoka hivi karibuni”-Peter Psquare
No comments:
Post a Comment