Tanzania inaaminika kuwa ni moja kati ya nchi
za Afrika zenye vivutio vya utalii, moja kati ya tweet zinazosambaa
katika mitandao ya kijamii kwa sasa ni pamoja na hii ya staa wa muziki
wa Nigeria Wizkid kudaiwa kuandika katika twitter account yake kuwa anatamani ndoa yake afunge akiwa Tanzania.
Tweet hiyo imesambaa katika mitandao ya kijamii na wengi kujiuliza ni kweli Wizkid anatamani kufunga ndoa Tanzania nini... kimemvutia? “Natamani kufunga ndoa katika beach za Tanzania” Hata hivyo hii sio mara ya kwanza kwa Wizkid kusifia beach za Tanzania, miezi kadhaa iliyopita akifanya interview akiwa nje ya Tanzania alitaja kuwa katika nchi alizotembea Afrika na kufurahia Tanzania ni moja wapo hususani beach(fukwe) za Tanzania
No comments:
Post a Comment