DOGO JANJA AWAJIBU WANAO MKOSOA KWA KUJITUMIA KAMA VIDEO QUEEN
Siku tatu baada ya muimbaji wa Bongofleva Dogo Janja kuachia video yake mpya ya ‘Wayu Wayu’ maneno
yalikuwa mengi mtandaoni na watu kuanza kukosoa idea yake ya video hiyo
kujitumia mwenyewe kama video vixen na kuvaa mavazi ya kike.
Idea hiyo ni ngeni kuwahi kutumiwa kwa Dogo Janja na baadhi ya watu wameikosoa na kuhoji kwa nini Dogo Janja avae nguo za kike, Jana kupitia ukurasa wake wa instagram aliandika... ujumbe flani unaotafsirika kama ni kujibu wanaomkosoa. Dogo Janja ameandika maneno haya katika picha ya aliyoipost instagram “Vyenye mi hupokea taarifa za marapa walionipa jina la RAPPA MVAA SKETI😏… #wayuwayu link in my bio”>>> Dogo Janja
No comments:
Post a Comment