Mkuu wa wilaya ya Monduli, Iddi Kimanta
amesema kutokana na wanafunzi 333 kupata ujauzito kwa kipindi cha mwaka
mmoja ni aibu na inaonyesha baadhi ya wanaume wa mkoa wa Arusha
wanashindwa kutongoza na kuwafuata wanafunzi jambo ambalo halikubaliki.
Kimata amezungumza kauli hiyo leo April 3, 2018 wakati akizungumza kwenye kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa RCC. “Lakini kwa mtu akisikia tu wanafunzi 333 wengi wamebakwa maanake mkoa wa Arusha ni... wawabakaji watupu wa wanafunzi” -DC kimanta
No comments:
Post a Comment