ZARI NA WATOTO ZAKE WA 3 WAENDELEA KULA BATA DUBAI
Mfanyabiashara maarufu na mzazi mwenza wa staa wa Bongo fleva
Diamond Platnumz, Zari The Bosslady ameendelea kula bata Dubai na
watoto wake.
Zari ameenda Dubai kwa ajili ya mapumziko ya Pasaka pamoja
na familia yake ambapo ameongozana na watoto wake watatu wakubwa na
mpiga picha wake. Hizi ni baadhi ya picha za Zari na familia yake wakila
bata...
No comments:
Post a Comment