Pages

Subscribe:

Wednesday, January 21, 2015

Download: UDSM Band_Limpopo


Download

WASANII KUTOKA MBEYA NAO WASHEA SODA ZA COCA NA MASHABIKI ZAO


Kampuni ya Coca Cola wameamua kutoa fursa kwa kuweza kuandika majina ya watu kwenye soda na kuwesha kushea na wengine. Hii ndiyo list ya wasanii kutoka jijini mbeya walioweza kushea Coca na Fans zao. See More inside...

MTOTO WA KAJALA AZIDI KUWA TISHIO KWA MASTAA WA BONGO

Paula Kajala Nilikuwa napita pita zangu huko Google kutafuta udaku nikakutana na hii ya picha za mtoto wa kajala na Producer wa Bongo Flava P Funk , Ki ukweli japo bado ni mtoto sana kwa umri ila ni...

Tuesday, January 20, 2015

UJUMBE WA WOLPER WAWAACHA WATU NJIA PANDA

Mrembo na mwigizaji mwenye mvuto wa aina yake, Jackline Massawe “Wolper” toka jana amekuwa anaachia picha na jumbembalimbali mtandaoni zenye maneno mazito ambayo yamepelekea wengi kuhisi labda kuna kitu kimemkuta mwandada huyu na sasa ameamua kupunguzia” stresi” zake mtandaoni, huku wengine wakamini kuwa hizi ni jumbe za...

Download: Barnaba ft Mr. Blue_Marry Me


Download

Download: kalaPina ft Ommy Dimpoz_Good Time


Download

Download: Flora Mvungi ft AT_Mkazurure


Download

DIAMOND NA ZARI NI KAMA KIM NA KAMYE WEST

Ki ukweli Jamani Zari ni Mzuri wa sura , yeye kama yeye ni kifaa cha aina yake kubali ukatae, kwenye hiyo picha hapo juu embu ona alivyofanana na Kim Kardashian , yaani ni Diamond na Zari Ni Kama Kanye West na Kim Kardashian jinsi wanavyopendeza.

NEW: Avril ft Ommy Dimpoz_Hello Baby (Official Video)


Watch Here

DIAMOND AGEUZA MASHAIRI YA NYIMBO YA MR. BLUE NA KUMWIMBIA ZARI

Mwanamziki Diamond Platnumz na mpenzi na Zari wanazidi ku make headlines kwa ku share mapenzi yao katika mitandao ya kijamii kwa matukio tofauti tofauti tofauti.. Jana katika page ya instagram msanii Diamond ali post video akiwa amevaa taulo ali post video aliyokua akiimba...