skip to main |
skip to sidebar
Diamond Platnumz anaendelea kuwa katika HeadLines za Mitandao, kutokana na
Collabo anazoendelea kufanya, Ikiwa bado "Nana" inafanya vizuri, Siku ya
ijumaa Video ya Love Boat aliyoshirikishwa na Kcee itatoka rasmi!!
Kcee amepost Video Instagram akiwa na Diamond Platnumz nakuandika "
"Love boat video will be...
Hii itakuwa ni moja kati ya Video za Ally Kiba zilizopokelewa Vizuri na
watu!! Katika Muda wa Masaa 24 tu imeweza kutazamwa mara laki moja.
Katika Mtandao wa Instagram Ally Kiba katoa Shukrani zake kwa wote ambao
wameitazama video hii mpaka sasa.
Hii ndio Post ya Ally Kiba! Soma hapa Chini...
Muigizaji wa filamu, Aunty Ezekiel ambaye hivi karibuni alijifungua
mtoto wa kike, amedai kuwa licha ya kuzaa nje ya ndoa, bado anaamini
ndoa yake ipo pale pale.
Akizungumza na Bongo5, Aunty aka Mama Cookie, amesema aliamua kuzaa
na Moses Iyobo, dancer wa Diamond Platnumz kwakuwa...
Salama Jabir ameamua kuongea kuhusu wanaokosoa Vibaya Kazi za wasanii wa
Kibongo.
Katika Mtandano wa Twitter ameandika: "Wabongo Tumekua Wakosoaji Mpaka Wasanii Wanajishtukia, Hakuna "Zuri
Kabisa" Kwenye Macho Yetu. Tuwaache Wasanii Wawe "Wasanii" Nadhani!"...