skip to main |
skip to sidebar
Dar es Salaam: Ubuyu! Tumbuatumbua ya majipu ya Rais wa Awamu ya
Tano, Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’ inadaiwa kumtisha mwandani wa
Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The
Boss Lady’ kuja kuishi Bongo ikidaiwa kisa ni utajiri mkubwa alionao
wenye shaka juu ya malipo ya ushuru na mapato.
Habari kutoka kwenye chanzo cha ndani cha familia ya Diamond, zimeeleza
kuwa Zari alikuwa na mpango wa kuhamishia miradi na makazi yake rasmi
Dar mwanzoni mwa mwaka 2016 lakini...
Msanii wa filamu Nisha Jabu, ametoa upande wake wa maelezo juu ya mahusiano
yake na nyota wa muziki Barakah Da Prince, kufuatia kauli ya mwanamuziki
huyo wiki iliyopita kukana kuwepo kwa mahusiano ya kimapenzi kati yao.
Nisha amesema kuwa, Baraka ni...
Wakati kuna watu wanaodhani kwa kuwa ni mama wa watoto wanne, Zari anaweza
kuwa ameshapoteza sifa za ‘usichana’, Diamond ana mtazamo tofauti. Hitmaker
huyo wa ‘Utanipenda’ anamuona Zari the Bosslady kama msichana mbichi ma
hauchoki uzuri wake. “I swear I can’t get use to your Cuteness…Kadada...
Msanii mkongwe wa hip hop nchini, Afande Sele amefunguka na kusema
serikali ihalalishe matumizi ya bangi na si kukosoa juu ya hoja
iliyotolewa na mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma.
Ikiwa imepita siku moja toka mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma
(CCM), kusema haoni sababu ya serikali kuzuia bangi kuwa zao la biashara
kwa maana haoni madhara yake huku akidai kwamba viroba vina madhara
zaidi kuliko bangi, Afande Sele amefunguka na kusema...