
Tuesday, March 1, 2016
BAADA YA LUPELA SASA ALIKIBA KUJA NA HII
Msanii Ali Kiba ambaye kwa sasa anafanya poa na ngoma yake mpya ya Lupela amefunguka na kusema kazi nyingi zinakuja ila kwa sasa atatoa kazi na wasanii kutoka nchini Kenya wanaounda kundi la Sauti Sol. Akipiga stori kupita kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na EATV Ali Kiba amesema baada ya kazi yake hii inayotamba sasa wataachia kazi ya kushirikiana ambayo imefanywa nchini...
Labels:
HABARI & UDAKU
NAY: SINA MPANGO WA KUOA MTU

Labels:
HABARI & UDAKU
HATIMAYE RAYUU AOLEWA NA MWARABU

Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu wa Rayuu, ndoa hiyo ilitarajiwa kufungwa kwa siri Ijumaa iliyopita nyumbani kwao, Kigogo jijini Dar bila mwaliko wa marafiki zake ili...
Labels:
HABARI & UDAKU
DUDU BAYA: WANAOSEMA NIMEFURIA NI MAMLUKI NA KENGE
Msanii Dudu baya amewalalamikia Watanzania na kusema kuwa hawafikirii kitu kingine cha msingi pale msanii anapokuwa kimya, na badala yake wanakimbilia kusema msanii huyo amefulia.
Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Dudu baya amesema mashabiki weni ndio wa kwanza kulaumu kuwa wasanii wa Tanzania hawana elimu, hivyo wakikaa kimya ili kufanya...
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Posts (Atom)







Follow on Instagram