
Friday, April 1, 2016
HUU NDIYO MCHANGO WA DIAMOND KWENYE LEBO YA WCB
Msanii Diamond Platnumz amefunguka na kusema kwenye Label yake ya WCB yeye huwa anachangia vitu vidogo sana na kusema management yake chini ya Babutale na Mkubwa Fela ndiyo wanao waangalia wasanii na kuona kama wasanii hao wana vipaji na uvumilivu.
Akiongea na East Africa Radio kwenye kipindi cha Planet bongo Diamond
Platnumz amedai wakati mwingine wasanii wa label yake ya WBC wanaweza
kula msoto mkali mpaka...
Labels:
HABARI & UDAKU
ALIKIBA NA GIGY MONEY MAPENZI YAPAMBA MOTO
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Posts (Atom)










Follow on Instagram