
Wednesday, May 25, 2016
Tuesday, May 24, 2016
ADELE KUSAINI MKATABA NA LABEL YA ALIKIBA SONY MUSIC KWA DAU LA £90m
Adele anatarajia kuwa msanii mpya wa record label ya Sony Music, iliyomsainisha Alikiba wiki iliyopita.
Imeripotiwa
kuwa msanii huyo atasaini mkataba wenye dau la paundi milioni 90, kubwa zaidi
kwa msanii wa Uingereza. Kama ni kweli, kiasi hicho kitaongeza utajiri wake
mara mbili ambao kwa sasa ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
STAMINA NI MSANII HATARI TATIZO NI MANAGEMENT TU
Msanii
wa muziki wa Hip Hop, Stamina ni moja kati ya wasanii wa ndani ambao walifanya
show kali katika tamasha kubwa la Jembeka Festival 2016 lililofanyika Jumamosi
hii katika viwanya vya CCM Kirumba Mwanza.
Katika
tamasha hilo, msanii mkali wa Marekani, Ne-Yo alifanya show kubwa ambayo
iliwavutia mashabiki wa muziki wa Kanda ya Ziwa.
Kati
ya wasanii wachache wa ndani waliopanda katika jukwaa la Jembeka Festival 2016
na kuonesha uwezo mkubwa ni Stamina. Alifanya show ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
Monday, May 23, 2016
Tazama & Download: VIDEO YA KIONJO CHA WIMBO WA DIAMOND NA NE-YO
Kama wewe ni shabiki wa Diamond Platnumz kaa mkao wa kula kwani licha colabo anayotarajia na Chris Brown,colabo yake na R&B hit maker Ne-Yo ipo tayari na muda wowote inaweza kutoka rasmi,colabo ambayo ndani yake unaambiwa Ne-Yo kaimba kishwahili.
Watch Here
Labels:
Downloads,
HABARI & UDAKU,
VIDEOS
HARMONIZE: NAMZIMIA WOLPER KINOMA ILA BADO NI MAPEMA SANA KUMVISHA PETE
Harmonizer ambae ni miongoni mwa wasanii ambao wamesaniwa na music
label ya W.C.B (Wasafi) label inayomilikia na mwanamuziki Damond
Platnumz, akiongea na amedai kuwa ni kweli yupo kwenye
mahusiano na Bongo movie actres Jackline Wolper na kuongeza kuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
Lyrics: Alikiba ft M.I_Aje [Official Lyrics]

[Verse 1 – Alikiba]
Ucheshi na sauti
Amenifanya nam-miss tu
Mwambie asiogope
Ali ni kipenzi cha watu
Ntafanya party nyumbani
Hiyo yote kwa ajili yake...
Ucheshi na sauti
Amenifanya nam-miss tu
Mwambie asiogope
Ali ni kipenzi cha watu
Ntafanya party nyumbani
Hiyo yote kwa ajili yake...
Labels:
HABARI & UDAKU,
LYRICS
ALIKIBA AMUOMBEA KURA DIAMOND PLATNUMZ
Msanii Alikiba amefunguka na kusema kwa mafanikio aliyopata toka amerudi kwenye muziki tena ndani ya muda ni mfupi ni sawa na kuchana msamba kwake maana siyo hatua za kawaida. Alikiba alisema haya kwenye kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio na kusisitiza kuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
MABURUNGUTU YA PESA ZA DOGO JANJA YAWACHANGANYA MASHABIKI ZAKE

Dogo Janja
Rapa huyo anayefanya vizuri na wimbo wake ‘My Life’, alipost picha hizo instagram na kuandika: Mshamba...
RICH MAVOKO KUTAMBULISHWA WCB HIVI KARIBU PIA ASHOT VIDEO NA DIAMOND NCHINI SA

Diamond na Mavoko walienda Afrika Kusini May 16 na ofcourse hawakusema chochote zaidi ya muimbaji huyo wa ‘Make Me Sing’ kuweka picha hiyo juu akiwa kwenye ndege na kuandika....
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Posts (Atom)




Follow on Instagram