Pages

Subscribe:

Sunday, September 24, 2017

download: Tamar Braxton_Blind


Download

Download: Tory Lanez_Shooters


Download

Download: Melanie Fiona_Remember U


Download

Watch & Download: Babbi_Kikomando (Official Video)


#KIKOMANDO || OFFICIAL VIDEO || OUT NOW #enjoyitnow. Link in my bio

Watch Here

AFYA: ZIJUE FAIDA 11 KWA MWILI ZIPATIKANAZO KWA KUNYWA MAJI YA NDIMU

Umesikia mara nyingi kuwa kunywa maji kwa wingi hasa asubuhi kuna faida kubwa sana za kiafya mwilini, lakini kunywa maji yenye ndimu na vuguvugu kuna faida maradufu na ni rahisi kufanya kila siku.
 
Vitamin C nyingi iliyomo katika limao na ndimu ni siri ya faida za tunda hili, ukiachia vitamini C ndimu ina vitamini B-complex, madini ya Kalsiamu, chuma, magnesiamu, potasiumu, na...

RUBY AKIRI KUTENGENEZA UJAUZITO FEKI


Baada ya hivi karibuni kuonekana na mwenyewe kukiri kwamba ni mjamzito lakini ghafla ujauzito huo kuyeyuka na kuzua gumzo kwa mashabiki wake, msaniii wa Bongo Fleva, Hellen George ‘Ruby’ kumbe alidanganya mashabiki. 

Akifungukia ujauzito huo katika mahojiano maalum Ruby alisema kuwa anakumbuka miezi kadhaa iliyopita alienda kwa mama yake akampikia chakula aina ya...

Story: SIKU SABA KUZIMU (Sehemu Ya 25) - 25


ILIPOISHIA:
Harakaharaka, huku akilia, aliwaita walinzi ambao nao walimuita daktari wa familia hiyo, muda mfupi baadaye wote wakawa wamejaa ndani ya chumba hicho wakijaribu kuokoa maisha ya msichana huyo lakini ilionesha kwamba tayari walikuwa wamechelewa.

SASA ENDELEA
Shenaiza alikuwa akitapatapa, akirusharusha mikono na miguu, mapovu mengi yaliyochanganyikana na damu yakimtoka mdomoni na puani, harakaharaka Shenaiza...

WASANII WAANZA KAMPENI YA KUMWOMBEA MWENZAO MCHANGO WA MATIBABU

Baadhi ya wasanii nchini Kenya wanaendesha kampeni ya kuchangia matibabu ya muigizaji wa filamu nchini humo Luwi Cappelo, ambaye alipata ajali ya gari na kulazwa hospitali.

Wasanii hao akiwemo Nyota Ndogo wanatarajia kufanya tamasha ambalo pesa ambazo zitapatikana, ziweze kugharamia matibabu ya Luwi Cappelo ambaye bado yupo...

YOUNG DEE: NINA MCHANGO MKUBWA KWENYE MAISHA YA DOGO JANJA

Msanii Young Dee amesema kitendo cha msanii mwenzake Dogo Janja kumtolea maneno machafu na kumtuhumu kuendelea kutumia madawa ya kulevya, ni kumvunjia heshima kwani yeye ana mchango mkubwa kwenye maisha yake, na pia inaonyesha hana akili. 

Akizungumza, Young Dee amesema kama asingekuwepo yeye hata Dogo Janja asingekuwepo, na inadhihirisha ni jinsi gani bado...

PEPO LA USALITI LAZIDI KUMTESA DIAMOND AANGUKIA MIKONONI MWA HUDDAH



Diamond Platnumz ni kama centre ya ubuyu Bongo. Mrembo wa Kenya Huddah Monroe ameonekana kuwa upande wa adui yake Zari The Bosslady katika sakata zito la Diamod kuzaa na Hamisa Mobetto.

Baada ya bosi huyo wa WCB kuonekana kuishinda kwa asilimia kubwa vita ya usaliti kwa kuzaa nje, kupitia mtandao wa Snapchat, Huddah ameamua...